Search

77 results for SINDA MATIKO :

  1. Shujaa ni kubaya, wahemea mchujo

    KIKOSI cha taifa cha raga 7s, Shujaa kipo kwenye hatari zaidi ya kushushwa daraja mwishoni mwa msimu huu baada ya kuelendelea kuchemsha katika ligi ya dunia ya HSBC IRB 7s 2022/23. Kwenye mkondo...

  2. Nahodha Gor adai Top 4 ni kubaya

    KAPTENI wa Gor Mahia, Philemon Otieno, kasisitiza ni mapema mno kuwapigia upatu kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu licha ya kushika usukani. Gor walishika usukani wa FKFPL baada ya sare ya bao...

  3. Kocha Gor atoboa siri ya mafanikio

    JOHNATHAN McKinstry amedai sababu ya matokeo mazuri ya kikosi chake hadi sasa imechangia pakubwa na ki-smart. Kwa muda mrefu, miamba hawa wa soka nchini walitawala Ligi Kuu Kenya hadi misimu...

  4. Kisa msupa, Wanyama akataa doo

    NAHODHA wa zamani wa Harambee Stars, Victor Wanyama, amefunguka sababu ya kuamua kusalia ndani ya klabu ya Montreal FC licha ya awali kukata kauli angeondoka mwishoni mwa mmwaka 2022. Mtakaba...

  5. Aussems atoa kali ya mwaka

    KOCHA wa AFC Leopards, Patrick Aussems, alisema staili ya uchezaji ya Bidco United ndiyo iliyochangia timu yake kupokea kichapo cha mabao 4-1 mwishoni mwa wiki iliyopita. Aussems ambaye...

  6. Baraza: Mimi sipangwigwi

    MKUFUNZI mpya wa Police FC, Francis Baraza, hacheki na mtu. Kocha huyo aliyeridhi mikoba ya Sammy ‘Pamzo’ Omollo, ametoa tahadhari kwa mabosi wake. Kufuatia tetesi kuwa Pamzo na msaidizi wake...

  7. Soka Kenya lampa homa Origi

    ALIYEKUWA kipa wa Harambee Stars, Arnold Origi, amesema Kenya kufuzu Kombe la Dunia 2030 zitasalia ndoto za alinacha ikiwa mabadiliko makubwa hayatafanyika haraka upesi. Kauli ya Origi inatokana...

  8. Aussems: Januari tunaanza upya wasee

    HADI Ligi Kuu Kenya inachukua mapumziko ya takribani wiki mbili, AFC Leopards haijakuwa na mwanzo mzuri wa msimu mpya 2022/23 ikishinda mechi moja kati ya tano walizocheza wakiambulia sare mbili...

  9. Ingwe yaipiga FIFA magoti

    UONGOZI wa klabu ya AFC Leopards unasema Janauri 2023 ni mbali sana kuendelea kusubiri kuondolewa kwa marufuku ya FIFA.

  10. Siasa zatishia kuikaushia Homeboyz ganji

    KLABU ya Kakamega Homeboyz imekuwa moja kati ya klabu dhabiti kutoka mkoa wa Magharibi tangu ilipopanda daraja kukipiga Ligi Kuu Kenya.

Page 1 of 8

Next